![](https://static.wixstatic.com/media/26b0f6_e3b688dcf6a241b485f9edc106a73cb4~mv2_d_2048_1366_s_2.jpg/v1/fill/w_1920,h_1281,al_c,q_90,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/26b0f6_e3b688dcf6a241b485f9edc106a73cb4~mv2_d_2048_1366_s_2.jpg)
Taste of the Africa
East African's Most Pork Acclaimed Africa Restaurant
KITIMOTO
Nyama Tamu ya nguruwe Inayopendwa zaidi Tanzania na Africa Inapatikana.
Onja Ladha Yake Leo Ujionee
UGALI & NDIZI
Nyama ya Nguruwe Inapendeza sana kama Ukipatiwa na Ndizi/Ugali wa Moto kwa Pembeni.
DRINKS
Kinywaji Baridi Nacho Chapendeza sana Kushushia na Chakula. Waweza Tuagiza kwa Bei Nafuu Tukakuletea.
![](https://static.wixstatic.com/media/1e47b2_2893165ba1294ec0bbd7eb41a0f5f6b9.jpg/v1/fill/w_980,h_551,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/1e47b2_2893165ba1294ec0bbd7eb41a0f5f6b9.jpg)
Historia Yetu
Mahery Kitimoto Express ni Kampuni ya Wauzaji na Wasambazaji wa Nyama Aina ya Nguruwe(Pork) Jijini Dar es Salaam.
Kampuni hii imesajiliwa nchini Tanzania. Huduma zake zinapatikana Ndani ya Dar es salaam na Baadae Kusambaa Mikoa Kadhaa Nchini Tanzania.
​
Mahery Kitimoto Express Mwazo Iliitwa Kitimoto Center Pale Mjini Iringa seemu inayojulikana kwa jina la Frelimo, Tlikuwa Tukitoa Huduma za Kuuza Nyama Pendwa ya Nguruwe mwaka 2018.
Kufikia mwaka 2019 Tukafungua Mgahawa wa Nyama Rosti na Mbichi kwa wateja wa jiji la Dar es Salaam.
Maboresho haya yamekuja sambamba na Huduma za Usambazaji wa Chakula Majumbani na Ofisini.
Pia Wateja wetu walipenda sana Nyama ya kukaanga na Rosti, vilevile tunatoa na huduma ya Nyama Choma, Ugali na Ndizi.
​
Mahery Kitimoto Express! Imedhamiria kutimiza Uchumi wa Viwanda Hivyo tayari imeanza Kwa vitendo Kusindika Nyama na Kupaki kwenye vifungashio na kuuza sokoni.
![](https://static.wixstatic.com/media/1e47b2_d5b0b9016f824d6c996bb500c2a2e5f0.jpg/v1/fill/w_980,h_332,al_c,q_80,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/1e47b2_d5b0b9016f824d6c996bb500c2a2e5f0.jpg)
"Unapokunywa Bia,
Kumbuka na Radha yake"
Toa ODA yako sasa Tukufikie Popote Ulipo
Ndani ya Dar es salaam.
Usafiri Tunao Masaa 24, Karibu sana.
Tupigie: +255653110720.
![IMG_20190720_191245.jpg](https://static.wixstatic.com/media/26b0f6_57d3797d43594af6a2117df6fc612c23~mv2.jpg/v1/fill/w_668,h_668,al_c,q_85,usm_0.66_1.00_0.01,enc_avif,quality_auto/IMG_20190720_191245.jpg)