top of page

MENU

Mahery Kitimoto Express!!
Ni wauzaji na wasambazaji wa Nyama aina ya Nguruwe(Pork) Popote ulipo Ukiwa Ndani ya Jiji la Dar es salaam.
Tunafanya Packaging ya Oda yoyote Utakayoiagiza katika hali ya Usafi.
Sasa Ipo Karibu yako popote ulipo Ndani ya Dar es Salaam.
Bei ya Offer Nyama Kilo 1 ni TZS 11,000/=
Ndizi TZS 500/=
Ugali TZS 1,000/=
Toa Oda yako sasa Tukuletee Popote ULIPO.
Mpaka Mlangoni kwako!!
TUPIGIE KWA NAMBA +255653110720.
















Kitimoto
Tunauza aina Mbalimbali za nyama ya nguruwe ikiwemo Mkaango, Rosti na Makange. Karibu Uchague katika Mgahawa wetu.
Asante.Rosti ya Kitimoto 1kg
Pata Nyama ya Nguruwe iliyoungwa vizuri na kurostiwa kwa nyanya na viungo vingi yenye Radha.
TSh 11,000

Ugali
Ladha ya Ugali Inapendeza saana ikipata Nyama ya Nguruwe.
Weka Oda yako sasa.
TSh 1,000

Ndizi Mkaango 1pc
Ndizi nayo pia haiko nyuma kwa ladha yake hasa pale unapokula kitimoto. Weka Oda yako sasa.
TSh 500
Mild

Kitimoto Mkaango 1kg
Hii ni Nyama Nzuri ya Nguruwe Iliyokaangwa.
TSh 11,000
Mild

Kitimoto Mbichi 1kg
Hii ni Nyama Nzuri ya Nguruwe Mbichi.
TSh 11,000
Mild

Drinks
Nunua Vinywaji hivi kwenye Duka Letu.Juice ya Box
Juice mbalimbali zipo kama vile Embe, Nanasi, Parachichi, Miwa nk.
Karibu tupokee Order yako
TSh 4,000

Juice Ya Kopo
Juice hii inapatikana Kwetu, karibu uonje ladha bora zaidi.
TSh 1,000

Soda Coca
Take Away
TSh 1,000

Soda Pepsi
Take Away
TSh 1,000

Beer za Kubwa
Take Away
TSh 2,000

Beer Ndogo
TSh 1,500

Wyne & Spirits
Bei ya Duka Letu Inaanzia TZS 15,000 mpaka TZS200,000
TSh 15,000

Konyagi na K-Vant
Konyagi Ndogo TZS 5,000/=
K-Vant Ndogo TZS 5,000/=
TSh 5,000

Konyagi na K-Vant
Konyagi Kubwa TZS 10,000/=
K-Vant Kubwa TZS 10,000/=
TSh 10,000

bottom of page