top of page

ORDER ONLINE
We're not accepting online orders yet. Please contact us to complete the order.
Pickup, ASAP (in 10 minutes)
Lunch Menu
Mahery Kitimoto Express!! Ni wauzaji na wasambazaji wa Nyama aina ya Nguruwe(Pork) Popote ulipo Ukiwa Ndani ya Jiji la Dar es salaam. Tunafanya Packaging ya Oda yoyote Utakayoiagiza katika hali ya Usafi. Sasa Ipo Karibu yako popote ulipo Ndani ya Dar es Salaam. Bei ya Offer Nyama Kilo 1 ni TZS 11,000/= Ndizi TZS 500/= Ugali TZS 1,000/= Toa Oda yako sasa Tukuletee Popote ULIPO. Mpaka Mlangoni kwako!! TUPIGIE KWA NAMBA +255653110720.

Kitimoto
Tunauza aina Mbalimbali za nyama ya nguruwe ikiwemo Mkaango, Rosti na Makange. Karibu Uchague katika Mgahawa wetu. Asante.
Pata Nyama ya Nguruwe iliyoungwa vizuri na kurostiwa kwa nyanya na viungo vingi yenye Radha. TSh 11,000.0011,000.00 TZS

Ladha ya Ugali Inapendeza saana ikipata Nyama ya Nguruwe.
Weka Oda yako sasa.TSh 1,000.001,000.00 TZS

Ndizi nayo pia haiko nyuma kwa ladha yake hasa pale unapokula kitimoto. Weka Oda yako sasa.
TSh 500.00500.00 TZS

Hii ni Nyama Nzuri ya Nguruwe Iliyokaangwa. TSh 11,000.0011,000.00 TZS

Hii ni Nyama Nzuri ya Nguruwe Mbichi.TSh 11,000.0011,000.00 TZS

Drinks
Nunua Vinywaji hivi kwenye Duka Letu.
Juice mbalimbali zipo kama vile Embe, Nanasi, Parachichi, Miwa nk.
Karibu tupokee Order yakoTSh 4,000.004,000.00 TZS

Juice hii inapatikana Kwetu, karibu uonje ladha bora zaidi.TSh 1,000.001,000.00 TZS

Take AwayTSh 1,000.001,000.00 TZS

Take AwayTSh 1,000.001,000.00 TZS

Take AwayTSh 2,000.002,000.00 TZS

TSh 1,500.001,500.00 TZS

Bei ya Duka Letu Inaanzia TZS 15,000 mpaka TZS200,000TSh 15,000.0015,000.00 TZS

Konyagi Ndogo TZS 5,000/=
K-Vant Ndogo TZS 5,000/=TSh 5,000.005,000.00 TZS

Konyagi Kubwa TZS 10,000/=
K-Vant Kubwa TZS 10,000/=TSh 10,000.0010,000.00 TZS

bottom of page